Ada za Usajili BMT

MABADILIKO YA ADA ZA USAJILI NA ADA ZA MWAKA.

Mabadiliko haya ya Ada za Usajili na Ada za Mwaka ni kwa mujibu wa Kanuni ya 25 (5) ya Kanuni za Usajili wa Vyama vya Michezo 1999.

a. Ada ya Mwaka kwa Vyama vya Kitaifa                          –  100,000/=

b. Ada ya Mwaka kwa Vyama vya Mikoa                           –   50,000/=

c. Ada ya Mwaka kwa Vyama vya Wilaya                           –   25,000/=

d. Ada ya Mwaka kwa Vilabu vya Michezo                         –   20,000/=

e. Ada ya Mwaka kwa Vituo vya Michezo                           –   100,000/=

f. Ada ya Mwaka kwa Wakuzaji wa Michezo                      –   100,000/=

g. Ada ya Cheti cha Usajili                                                      –    20,000/=

h. Ada ya Maombi ya Kukagua Regista                                –    20,000/=

i. Ada ya Maombi ya Kivuli cha Cheti                                   –    20,000/=

j. Ada ya Maombi ya Hati iliyothibitishwa na Msajili       –    20,000/=

k. Ada ya Maombi Mengineyo                                                –    20,000/=

 

N.B Malipo yote haya ya Ada za Usajili yanafanyika katika akaunti ya Baraza la Michezo la Taifa.

Baraza la Michezo la Taifa   :- A/c No. 20401100013 NMB

581 total views, 1 views today

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/ada-za-usajili-bmt/">
RSS