UCHAGUZI WA CHAMA CHA RIADHA TANZANIA

Baraza la Michezo la Taifa liliratibu uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Riadha (RT) tarehe 20 Mei, 2012, uliofanyika Mkoani Morogoro.  Majina ya viongozi  ni kama yalivyoorodheshwa hapo juu.

Aidha,uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Riadha Tanzania (RT), kuanzia tarehe 20 Mei, 2012, hadi Mei 2015.

 

                                            Viongozi walioko madarakani

Na.             JINA NAFASI MAWASILIANO
1. ANTHONY MTAKA Rais P.O. Box. 2172 DSM,

Mob. +255 657995131

+ 255 715 290048

E–Mail: tan@mf.iaaf.org

athletictz@gmail.com

2.WILLIAM   KALLAGHEM/wa Kwanza wa Rais (Utawala)3.DR. HAMAD NDEEM/ wa Pili wa Rais (Ufundi)4.SULEIMAN NYAMBUIKatibu5.OMBENI ZAVALAKatibu Mkuu Msaidizi6.IS-HAQ SELEMANMweka Hazina7.MWINGA MWANJALAMjumbe8.LWIZA JOHNMjumbe9.PETER  MWITAMjumbe10.ZAKARIA GWANDUMjumbe11.META PETRO BAREMjumbe12.ZAKARIA BARIEMjumbe13.REHEMA KILLOMjumbe14.ROBERT KALYAHEMjumbe 15.CHRISTIAN C. MATEMBOMjumbe16.TULO CHAMBOMjumbe

 

48 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2012/05/20/uchaguzi-wa-chama-cha-riadha-tanzania/">
RSS