UCHAGUZI WA CHAMA CHA MPIRA WA WAVU TANZANIA

Uchaguzi wa chama cha Mpira wa Wavu Tanzania ulifanyika tarehe 18 mei 2013 katika hoteli ya mkonge jijini Tanga. Orodha ya viongozi waliochaguliwa ni kama ilivyo kwenye jedwali juu.

Aidha uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4), kufuatia katiba ya Chama cha Mpira wa Wavu, kuanzia tarehe 18 Mei, 2013 hadi Mei 2017.

                          Viongozi walioko madarakani

Na. JINA NAFASI YA UONGOZI MAWASILIANO
1. Augustino Agapa Mwenyekiti S.L.P 10496 DSM

 

E-mail

tavatanzania@yahoo.com

2. Muharam Muchume Makamu wa kwanza wa Mwenyekiti Maendeleo na Mipango.
3. Goerge John Makamu wa pili wa Mwenyekiti Fedha na Utawala.
4. Allen Alex Katibu Mkuu
5. Somo Kimwaga Mwenyekiti kamati ya Ufundi
6. Kokono David Mabula Mwenyekiti kamati ya wavu ufukweni
7. Nkane Nkane Ally Mwenyekiti kamati ya kuendeleza mikoa
8. Adolfina Hamis Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya watoto.
9. Theonestina Nyarufunjo Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya wanawake.
10. Siraju Mwasha Mwenyekiti kamati ya waamuzi
11. Amoni Sifaeli Mwenyekiti kamati ya kuendeleza mashule.
12. Emmanuel Majengo Mwenyekiti kamati ya Makocha

                             

 

35 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2013/05/18/uchaguzi-wa-chama-cha-mpira-wa-wavu-tanzania/">
RSS