UCHAGUZI WA CHAMA CHA NETIBOLI TANZANIA (CHANETA)

Baraza la Michezo la Taifa lilisimamia uchaguzi wa Chama cha netiboli Tanzania uliofanyika tarehe 20 Mei 2013 mjini Dodoma.

Uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa  Katiba ya chama cha netiboli, kuanzia tarehe 20 Mei, 2013 hadi Mei 2017.

                       Viongozi walioko madarakani

Na. JINA NAFASI MAWASILIANO
1. ANNA KIBIRA Mwenyekiti
ZAINAB MBIRO M/Mwenyekiti
GRACE HATIBU Mhazini
YASINTA SYLIVESTER Mjumbe
FORTUNATE KABEJA Mjumbe
HILDA MWAKATOBE Mjumbe
JUDITH ILUNDA Mjumbe
PENINA IGWE Mjumbe

 

 

43 total views, 2 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2013/05/20/2463/">
RSS