UCHAGUZI WA CHAMA CHA CHAMA  CHA TENISI TANZANIA(TTA)

Chama cha Tenisi Tanzania kilifanya uchaguzi wake tarehe 22 Juni 2013 katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.

Uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa katiba ya Chama cha Baiskeli Tanzania, kuanzia tarehe 22 Juni, 2013 hadi Juni, 2017.

                             Viongozi walioko madarakani

Na JINA NAFASI MAWASILIANO
1. METHUSELA MBAJO Raisi S.L.P 2647 DSM
2. FINA MANGO M/Raisi
3. WILLIAM STEVEN KALLAGHE Katibu Mkuu
4. JOSHUA MARTIN MUTALE KM/Msaidizi
5. JOYCE FREDRICK MARWA Mweka Hazina
6. SWALEHE HUSSEIN Mjumbe
7. MAJALIWA MAJUTO Mjumbe
8. HASSAN KASSIM Mjumbe
9. MORRIS LOJE Mjumbe
10. KELVIN KIANGO Mjumbe
11. ISMAIL OMARY Mjumbe

 

                           Uchaguzi

 

34 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2013/06/22/uchaguzi-wa-chama-cha-chama-cha-tenisi-tanzaniatta/">
RSS