UCHAGUZI WA CHAMA CHA MIELEKA YA RIDHAA TANZANIA (AWATA)

Baraza la michezo la Taifa lilisimamia Uchaguzi wa chama cha mieleka ya ridhaa Tanzania (AWATA) uliofanyika tarehe 6 Julai, 2013 katika ukumbi wa Navy beach jijini Dar es salaam.

Uongozi huu utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Chama cha Mieleka ya Ridhaa Tanzania (AWATA), kuanzia tarehe 6 Julai,2013 hadi Julai 2017.

                    

Viongozi walioko madarakani

 

Na. JINA NAFASI MAWASILISHI
1. ANDREW G. KAPELELA Mwenyekiti E-mail tanzaniawrestling-fila@yahoo.com

Facebook-Tanzania wrestling fila-Awata

2. BENARD GODWIN MWAKALUKWA M/Mwenyekiti
3. VICENT P. MAGESSA Katibu Mkuu
4.  ELIAKIM M. SURUMBU KM/Msaidizi
5. HASSAN S. MSUYA Mhazini
6. SERIKAEL S. NANYARO Mjumbe
7. BONAVENTURA K. WILLIAM Mjumbe
8. HARUNA ABDALLAH Mjumbe
9. ATILIO LUBAVA Mjumbe

 

                             Uchaguzi

 

224 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2013/07/06/uchaguzi-wa-chama-cha-mieleka-ya-ridhaa-tanzania-awata/">
RSS