UCHAGUZI WA CHAMA CHA BAISKELI TANZANIA (CHABATA)
4.
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) lilisimamia uchaguzi wa viongozi wa Chama cha Baiskeli Tanzania (CHABATA) tarehe 06 Oktoba, 2013, Mkoani Dodoma. Aidha uongozi huo kwa mujibu wa katiba ya Chama cha Mchezo wa Baiskeli Tanznaia utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka mitatu (3) kutoka tarehe ya uchaguzi hadi Oktoba,2016.
Baraza linautakiwa uongozi kila la kheri katika kufanikisha utendaji na mafanikio ya mchezo huu hadi kufikia uchaguzi mwingine.
Viongozi waliopo madarakani
Na. |
JINA |
NAFASI |
ANAKO TOKA | MAWASILIANO |
1. |
GEOFREY JAX MHAGAMA | Mwenyekiti | Dar es salaam | P.O. BOX 33948 DSMTEL.+255 78 6009 751FAX.+255Mob.+ 255 78 5680 065
E-Mail info@cyclingtanzania.or.tz
Website www.cycling Tanzania.or.tz |
2. |
SAIMON T. JACKSON | M/Mwenyekiti | Shinyanga | |
3. |
JOHN MACHEMBA | Katibu Mkuu | Dar es salaam | |
4. |
FABIAN BUKAMI | Katibu Msaidizi | Mwanza | |
5. |
JUMA NJIKU | Mweka Hazina | Arusha | |
6. |
TABU LUGENDO | Mjumbe | Shinyanga | |
7. |
PIUS MAKONDA | Mjumbe | Shinyanga | |
8. |
LUCAS BUPILIPILI | Mjumbe | Mwanza | |
9. |
MOSES A. SHANGE | Mjumbe | Arusha | |
10. |
JOSEPH S. KADEGE | Mjumbe | Dodoma |
Uchaguzi
5. SHIRIKISHO LA MICHEZO VYOU VYA ELIMU YA JUU TANZANIA (SHIMIVUTA)
Viogozi waliopo madarakani
Na. |
JINA |
NAFASI |
TAASISI ATOKAYO |
MAWASILIANO |
1. |
MWALIMU R. MWALIMU |
Rais | Chuo cha Usimamizi wa Fedha – IFM |
P.O. Box. 2958 DSM
Rais 0767 415 659 Katibu Mkuu 0754 642 895 |
2. |
AUGUSTINE P.MATEMU | Makamu wa Rais | Taasisi ya Teknologia ya Mawasiliano- DIT | |
3. |
EDWARD B. HOMANGA | Katibu Mkuu | Chuo cha Mipango Dodoma | |
4. |
PAUL H. MBONILE | Katibu Msaidizi | Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto | |
5. |
LONGO M. BURA | Mweka Hazina | Tanzania Institute of Accountancy | |
6. |
TWAHA S. MUSHY | Mjumbe | Chuo cha Ufundi Arusha | |
7. |
UKENDE J. MKUMBO |
Mjumbe |
Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere |
|
8. |
KILEO O. IVAN | Mjumbe | Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima | |
9. |
GERNOTH SANGA | Mjumbe | Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknologia Mbeya. |
Uchaguzi
Baraza la Michezo la Taifa (BMT) lilisimamia uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Michezo ya Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (SHIMIVUTA) tarehe 10 Octoba, 2013, Mkoani Morogoro, majina ya viongozi waliochaguliwa ni kama inavyoonekana hapo juu.
Aidha, uongozi huu utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la Michezo ya Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (SHIMIVUTA ), kuanzia tarehe ya uchaguzi hadi Octoba, 2017.
Baraza linawatakia viongozi utendaji wenye mafanikio hadi uchaguzi mwingine utakapofanyika.
6. CHAMA CHA WUSHU TANZANIA (TWA)
Uongozi ulioko madarakani
Na | JINA | NAFASI | MAWASILIANO |
1. | MWARAMI S. MITETE | Mwenyekiti | TEL.+255 (222)170 351 |
+255 717 609 720
+255 713 386 628
P.O.Box 90374 DSM,Tanzania
Email: tanzaniawushu@gmail.com
migowushu@yahoo.com
2.KAWINA H. KONDEM/Mwenyekiti3.SALEHE M. MTAULAKatibu Mkuu4.SULTAN K. UPINDEK/Mkuu Msaidizi5.VENANCE A. MTAMELOMweka Hazina6.OMARY M. MAISAM/Hazina Msaidizi7.KARAMA MASOUDMkurugenzi Mipango8.SAID M. SALUMMkurugenzi M/Mipago9.MAULIDI S. NG’USILAMkurugenzi Ufundi10.JUMA S. MALENDAMkurugenzi U/Msaidizi
Uchaguzi
Baraza la Michezo la Taifa lilisimamia uchaguzi wa Chama cha Wushu Tanzania (TWA) uliofanyika tarehe 27 Julai,2014, katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam. Mkutano ulihudhuriwa na wajumbe 67 kutoka vilabu 23 vya chama cha wushu.
Viongozi walioko madarakani, majina ni kama yanavyoonekana hapo juu.
Aidha,uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Wushu Tanzania (TWA), kuanzia tarehe 27 Julai, 2014, hadi Julai 2018.
Baraza linawatakia uongozi mwema wenye kuleta mafanikio zaidi
7. CHAMA CHA MPIRA WA WAVU TANZANIA.
Viongozi walioko madarakani
Na. | JINA | NAFASI YA UONGOZI | MAWASILIANO |
1. | Augustino Agapa | Mwenyekiti | S.L.P 10496 DSM
tavatanzania@yahoo.com |
2. | Muharam Muchume | Makamu wa kwanza wa Mwenyekiti Maendeleo na Mipango. | |
3. | Goerge John | Makamu wa pili wa Mwenyekiti Fedha na Utawala. | |
4. | Allen Alex | Katibu Mkuu | |
5. | Somo Kimwaga | Mwenyekiti kamati ya Ufundi | |
6. | Kokono David Mabula | Mwenyekiti kamati ya wavu ufukweni | |
7. | Nkane Nkane Ally | Mwenyekiti kamati ya kuendeleza mikoa | |
8. | Adolfina Hamis | Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya watoto. | |
9. | Theonestina Nyarufunjo | Mwenyekiti kamati ya maendeleo ya wanawake. | |
10. | Siraju Mwasha | Mwenyekiti kamati ya waamuzi | |
11. | Amoni Sifaeli | Mwenyekiti kamati ya kuendeleza mashule. | |
12. | Emmanuel Majengo | Mwenyekiti kamati ya Makocha |
Uchaguzi
Uchaguzi wa chama cha Mpira wa Wavu Tanzania ulifanyika tarehe 18 mei 2013 katika hoteli ya mkonge jijini Tanga. Orodha ya viongozi waliochaguliwa ni kama ilivyo kwenye jedwali juu.
Aidha uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4), kufuatia katiba ya Chama cha Mpira wa Wavu, kuanzia tarehe 18 Mei, 2013 hadi Mei 2017.
8. CHAMA CHA MIELEKA YA RIDHAA TANZANIA (AWATA)
Viongozi walioko madarakani
Na. | JINA | NAFASI | MAWASILISHI |
1. | ANDREW G. KAPELELA | Mwenyekiti | E-MailTanzaniawrestling-fila@yahoo.com
Facebook-Tanzania wrestling fila-Awata |
2. | BENARD GODWIN MWAKALUKWA | M/Mwenyekiti | |
3. | VICENT P. MAGESSA | Katibu Mkuu | |
4. | ELIAKIM M. SURUMBU | KM/Msaidizi | |
5. | HASSAN S. MSUYA | Mhazini | |
6. | SERIKAEL S. NANYARO | Mjumbe | |
7. | BONAVENTURA K. WILLIAM | Mjumbe | |
8. | HARUNA ABDALLAH | Mjumbe | |
9. | ATILIO LUBAVA | Mjumbe |
Uchaguzi
Baraza la michezo la Taifa lilisimamia Uchaguzi wa chama cha mieleka ya ridhaa Tanzania (AWATA) uliofanyika tarehe 6 Julai, 2013 katika ukumbi wa Navy beach jijini Dar es salaam.
Uongozi huu utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Chama cha Mieleka ya Ridhaa Tanzania (AWATA), kuanzia tarehe 6 Julai,2013 hadi Julai 2017.
9. CHAMA CHA TENISI TANZANIA(TTA)
Viongozi walioko madarakani
Na | JINA | NAFASI | MAWASILIANO |
1. | METHUSELA MBAJO | Raisi | S.L.P 2647 DSM |
2. | FINA MANGO | M/Raisi | |
3. | WILLIAM STEVEN KALLAGHE | Katibu Mkuu | |
4. | JOSHUA MARTIN MUTALE | KM/Msaidizi | |
5. | JOYCE FREDRICK MARWA | Mweka Hazina | |
6. | SWALEHE HUSSEIN | Mjumbe | |
7. | MAJALIWA MAJUTO | Mjumbe | |
8. | HASSAN KASSIM | Mjumbe | |
9. | MORRIS LOJE | Mjumbe | |
10. | KELVIN KIANGO | Mjumbe | |
11. | ISMAIL OMARY | Mjumbe |
Uchaguzi
Chama cha Tenisi Tanzania kilifanya uchaguzi wake tarehe 22 Juni 2013 katika hoteli ya New Africa jijini Dar es Salaam.
Uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa katiba ya Chama cha Baiskeli Tanzania, kuanzia tarehe 22 Juni, 2013 hadi Juni, 2017.
10.CHAMA CHA MPIRA WA MEZA TANZANIA (TTT)
Uongozi ulioko madarakani
Na. | JINA | NAFASI | MAWASILIANO |
1. | FELIX MAGANJIRA | Mwenyekiti | |
2. | NOORIAN SHARIFF | M/Mwenyekiti | |
3. | ISSA MTALASO | Katibu Mkuu | |
4. | MICHAEL MISABO | KM/Msaidizi | |
5. | RICHARD VALIMBA | Mweka Hazina | |
6. | LUIS MUGISHA | M/H/Msaidizi | |
7. | ALICE SIMWINGA | M/K/Maamuzi | |
8. | KUNTI ABDALLAH | M/K/Watoto na Mashule | |
9. | RAMADHAN SULEIMAN | M/K/Walimu | |
10. | AGNES NGODOKI | M/K/Maendeleo ya Wanawake | |
11. | ANTHONY MUTAFURWA | M/K/Fedha,Mipango na Maendeleo | |
12. | YAHYA MUNGILWA | M/K/Maendeleo ya Ufundi na Uendeshaji Mashindano |
Uchaguzi
Uchaguzi wa chama cha mpira wa meza Tanzania ulifanyika tarehe 22 Desemba 2013 katika ukumbi wa ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT).
Aidha, uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Chama cha Mpira wa Meza (TTT), kuanzia tarehe 22 Desemba, 2013 hadi Desemba, 2017.
11. CHAMA CHA NETIBOLI TANZANIA(CHANETA)
Viongozi walioko madarakani
Na. | JINA | NAFASI | MAWASILIANO |
1. | ANNA KIBIRA | Mwenyekiti | |
ZAINAB MBIRO | M/Mwenyekiti | ||
GRACE HATIBU | Mhazini | ||
YASINTA SYLIVESTER | Mjumbe | ||
FORTUNATE KABEJA | Mjumbe | ||
HILDA MWAKATOBE | Mjumbe | ||
JUDITH ILUNDA | Mjumbe | ||
PENINA IGWE | Mjumbe |
Uchaguzi
Baraza la Michezo la Taifa lilisimamia uchaguzi wa Chama cha netiboli Tanzania uliofanyika tarehe 20 Mei 2013 mjini Dodoma.
Uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya chama cha netiboli, kuanzia tarehe 20 Mei, 2013 hadi Mei 2017.
67 total views, 1 views today