UCHAGUZI WA SHIRIKISHO LA MICHEZO VYUO VYA ELIMU YA JUU TANZANIA (SHIMIVUTA)

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) lilisimamia uchaguzi wa viongozi wa Shirikisho la Michezo ya Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (SHIMIVUTA) tarehe 10 Octoba, 2013, Mkoani Morogoro, majina ya viongozi waliochaguliwa  ni kama inavyoonekana hapo juu.

Aidha, uongozi huu utadumu madarakani  kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Shirikisho la  Michezo ya  Vyuo vya Elimu ya Juu Tanzania (SHIMIVUTA ),  kuanzia tarehe ya uchaguzi hadi Octoba, 2017.

Baraza linawatakia viongozi utendaji wenye mafanikio hadi  uchaguzi mwingine utakapofanyika.

Viongozi waliopo madarakani

Na.

JINA

NAFASI

TAASISI ATOKAYO

MAWASILIANO

1.

MWALIMU R. MWALIMU

Rais Chuo cha Usimamizi wa Fedha – IFM

P.O. Box. 2958 DSM

 

Rais

 0767 415 659

Katibu Mkuu

0754 642 895

2.

AUGUSTINE P.MATEMU Makamu wa Rais Taasisi ya Teknologia ya  Mawasiliano- DIT

3.

EDWARD  B. HOMANGA Katibu Mkuu Chuo cha Mipango Dodoma

4.

PAUL  H.  MBONILE Katibu  Msaidizi Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto

5.

LONGO  M. BURA Mweka Hazina Tanzania Institute of Accountancy

6.

TWAHA  S.  MUSHY Mjumbe Chuo cha Ufundi  Arusha

7.

UKENDE  J.  MKUMBO

Mjumbe

Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere

8.

KILEO  O.  IVAN Mjumbe Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima

9.

GERNOTH  SANGA Mjumbe Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknologia Mbeya.

Uchaguzi           

 

45 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2013/10/10/shirikisho-la-michezo-vyuo-vya-elimu-ya-juu-tanzania-shimivuta/">
RSS