UCHAGUZI WA CHAMA CHA WUSHU TANZANIA (TWA)

Baraza la Michezo la Taifa  lilisimamia uchaguzi wa Chama cha Wushu Tanzania (TWA) uliofanyika  tarehe 27 Julai,2014, katika ukumbi wa Manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam.  Mkutano ulihudhuriwa na wajumbe 67 kutoka vilabu 23 vya chama cha wushu.

Viongozi walioko madarakani, majina ni kama yanavyoonekana  hapo juu.

Aidha,uongozi utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka minne (4) kwa mujibu wa Katiba ya Chama Cha Wushu  Tanzania (TWA), kuanzia tarehe 27 Julai, 2014, hadi Julai 2018.

Baraza  linawatakia uongozi  mwema  wenye  kuleta  mafanikio  zaidi

                                  Uongozi ulioko madarakani                   

Na JINA NAFASI MAWASILIANO
1. MWARAMI  S. MITETE Mwenyekiti TEL.+255 (222)170 351

2.KAWINA H. KONDEM/Mwenyekiti3.SALEHE  M. MTAULAKatibu Mkuu4.SULTAN  K. UPINDEK/Mkuu Msaidizi5.VENANCE A. MTAMELOMweka Hazina6.OMARY  M.  MAISAM/Hazina Msaidizi7.KARAMA MASOUDMkurugenzi Mipango8.SAID  M. SALUMMkurugenzi M/Mipago9.MAULIDI  S. NG’USILAMkurugenzi Ufundi10.JUMA S. MALENDAMkurugenzi U/Msaidizi

+255 717 609 720

+255 713 386 628

P.O.Box 90374 DSM,Tanzania

Email: tanzaniawushu@gmail.com

migowushu@yahoo.com

 

                           

                                                Uchaguzi

 

 

 

 

 

 

 

 

70 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2014/07/27/uchaguzi-wa-chama-cha-wushu-tanzania-twa/">
RSS