CHAMA CHA WUSHU TANZANIA CHAPATA VIONGOZI WAPYA

                  TAARIFA YA UCHAGUZI WA CHAMA CHA WUSHU TANZANIA.

Baraza la Michezo la Taifa lilisimamia uchaguzi wa chama cha wushu Tanzania (TWA) uliofanyika Jumapili ya tarehe 27 Julai 2014 katika ukumbi wa manispaa ya Temeke jijini Dar es salaam. Mkutano huu ulihudhuriwa na wajumbe 67 kutoka vilabu 23 wanachama wa chama cha wushu Tanzania.

   MATOKEO YA UCHAGUZI

A.   MWENYEKITI

MWARAMI S. MITETE

B.  MAKAMU MWENYEKITI

KAWINA H. KONDE

C.  KATIBU MKUU

SALEHE M. MTAULA

D.  KATIBU MKUU MSAIDIZI

SULTAN K. UPINDE

E.  MHAZINI

VENANCE A. MTAMELO

F. MWEKA HAZINA MSAIDIZI

OMARY M. MAISA

G. MKURUGENZI  WA MIPANGO

      KARAMA MASOUD

H.  MKURUGENZI MSAIDIZI MIPANGO      

       SAID M. SALUM

I.  MKURUGENZI WA UFUNDI    

 MAULIDI S. NG’USILA

J. MKURUGENZI WA UFUNDI MSAIDIZI               

JUMA S. MALENDA

Imetolewa na,

BENSON CHACHA

KNY KATIBU MKUU

 

28 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2014/07/31/chama-cha-wushu-tanzania-chapata-viongozi-wapya/">
RSS