TIMU YA KRIKETI YA TANZANIA YASHINDA ZAMBIA

 

Timu  ya Tanzania ya Vijana ikiingia uwanjani Timu ya Taifa ya Tanzania ya Mchezo  Kriketi chini ya Umri wa miaka 19 ilishiriki mashindano ya dunia ya ICC nchini Zambia kuanzia tarehe 8 -18 Agosti 2014. Mashindano yalishirikisha nchi za Tanzania, Zambia, Msumbiji, Rwanda, Swaziland na Ghana.Timu ya Tanzania imeibuka mshindi katika mashindano hayo.

Baada ya kushinda mashindano hayo timu inatarajiwa kushiriki mashindano ya “ICC Africa U19 Div. 1” yatakayofanyika mwanzoni mwa mwaka 2015 nchini Namibia.

Timu ya Tanzania ya Vijana ikiingia uwanjani
Picha ya Timu kabla ya mechi
Picha ya Timu kabla ya mechi
Wachezaji wakipeana motisha kabla ya mechi
Wachezaji wakipeana motisha kabla ya mechi
Timu ikishangilia ushindi
Timu ikishangilia ushindi

Picha ya pamoja baada ya ushindi
Picha ya pamoja baada ya ushindi

14 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2014/09/01/timu-ya-kriketi-ya-tanzania-yashinda-zambia/">
RSS