MHE. NAIBU WAZIRI WA NCHI OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (TAMISEMI), AZINDUA MPANGO WA VIJANA NA WATOTO KUSHIRIKI KATIKA MICHEZO KITAIFA “NATIONAL INSPIRATION PROGRAMME” (NIP)

Mhe. Kassim Majaliwa akihutubia vijana na watoto katika uzinduzi wa mpango wa Uhamisishaji vijana na watoto katika michezo kitaifa. (NIP)

 

Mheshimiwa Majaliwa, alisema mafanikio hayo hayapaswi kuwa katika Mikoa hiyo ya majaribio, yanapaswa kuendelezwa nchi nzima.

Naibu Waziri aliwashukuru wafadhili wa Mradi wa Uk Sport, Laureus Sport for Good wakiwemo British Council, na wadau wengine wa michezo, alisema naamini tumepata wataalamu wa kutosha kutoa mafunzo ya michezo ili kuwajengea Vijana na Watoto utayari wa kuwa wanamichezo na raia wema wa Taifa hili.

Majaliwa alisema pamoja na mafanikio, changamoto tuliyonayo kwa muda mrefu ni Watanzania kutopata fursa ya kutosha ya ushindi kila wanaposhiriki mashindano ya Kimataifa.

Mheshimiwa alisisitiza kuwa lazima kufanya kazi kwa pamoja ili kuinua michezo nchini kwetu.  Na alitoa agizo kwa Maafisa Michezo wote wa Mikoa kufanya kazi kwa pamoja na Maafisa Michezo wa Halmashauri ili Taifa liwe na Vijana na Watoto walioandaliwa vyema kwa ushindi wa mashindano yote.

me
Naibu Waziri  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa (TAMISEMI) Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mradi wa Uhamasishaji wa Vijana kushiriki katika Michezo Kitaifa (NIP) Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mtaa (TAMISEMI) Mhe. Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mradi wa Uhamasishaji wa Vijana kushiriki katika Michezo Kitaifa (NIP)

 

 

Mh. Naibu Waziri, Balozi wa Laureus, Katibu Mkuu BMT, Mwenyekiti wa BMT, na mmoja wa viongozi wa mbio za polepole wakifurahia baada ya uzinduzi wa mradi kitaifa.(NIP
Mhe. Naibu Waziri, Balozi wa Laureus, Katibu Mkuu BMT, Mwenyekiti wa BMT, na mmoja wa viongozi wa mbio za polepole wakifurahia baada ya uzinduzi wa mradi kitaifa.(NIP
2.Dkt. Elias Musangeya  Muwakilishi wa UK Sport  akiwasilisha mada kuhusu michezo  kwa wajumbe wa mkutano.
Dkt. Elias Musangeya Muwakilishi wa UK Sport akiwasilisha mada kuhusu michezo kwa wajumbe wa mkutano.
Mwakilishi kutoka Laureus Sports for Good Foundation akiwasilisha mada katika Mkutano wa Makatibu Tawala na Wenyeviti wa kamati za Michezo nchini.
Mwakilishi kutoka Laureus Sports for Good Foundation Madonda, akiwasilisha mada katika Mkutano wa Makatibu Tawala na Wenyeviti wa kamati za Michezo nchini.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo, Sihaba Mkinga,  akiwa na Katibu Mkuu wa BMT Henry Lihaya, wakiwa tayari kwa mbio za polepole
Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo,Bibi  Sihaba Nkinga, akiwa na Katibu Mkuu wa BMT Henry Lihaya, wakiwa tayari kwa mbio za polepole
 Katibu Mkuu  Wizara Ya Habari, vijana, Utamaduni na Michezo Bibi  Sihaba Nkinga akiwa kwenye (picha ya pamoja) na Makatibu Tawala na Wenyeviti wa kamati za michezo nchini katika mkutano ulioandaliwa na BMT Uwanja wa Taifa DSM 18-20 Septemba,2014.
Katibu Mkuu Wizara Ya Habari, vijana, Utamaduni na Michezo Bibi Sihaba Nkinga akiwa kwenye (picha ya pamoja) na Makatibu Tawala na Wenyeviti wa kamati za michezo nchini katika mkutano ulioandaliwa na BMT Uwanja wa Taifa DSM 18-20 Septemba,2014.

 

6.	Wanafunzi wa shule tofauti za Dar es salaam wakionyesha michezo mbalimbali waliyofaidika nayo katika Mradi wa uhamaishaji watoto na vijana kushiriki katika michezo kimataaifa (IIP) ikiwemo michezo ya mbio, kadi za michezo na mpira wa miguu ukihusisha uelimishaji wa gonjwa  hatari la UKIMWI. Katika michezo hii walemavu hawakuachwa nyuma.michezo watoto mbio

Baadhi ya wanafunzi wa shule mbalimbali jijini Dar-es-salaam waliokuwa wakishiriki katika mradi wa uhamasishaji wa vijana na watoto kushiriki katika michezo  kimataifa wakionyesha baadhi ya michezo.

 

26 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2014/09/24/mheshimiwa-kassim-majaliwa-azindua-mpango-wa-vijana-na-watoto-kushiriki-katika-michezo-kitaifa-national-inspiration-programme-nip/">
RSS