UCHAGUZI SHIMISEMITA 2014

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linatangaza uchaguzi mdogo wa viongozi wa Shirikizo la Michezo Serikali za Mitaa Tanzania (SHIMISEMITA). Uchaguzi utakaofanyika wakati wa mashindano ya SHIMISEMITA Mjini Morogoro kuanzia Tarehe 27 Octoba- 10 Novemba 2014.

Fomu za Uchaguzi zinapatikana ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT), na katika tovuti ya BMT www.nationalsportscouncil.go.tz, ofisi za Makatibu Tawala wa mikoa yote na wakati wa mashindano mjini Morogoro.

PRESS RELEASE 01


 

 

 

 

 

 

 

 

 

Fomu zinapatikana katika link hapo chini

FOMU YA MAELEZO BINAFSI YA MUOMBAJI UONGOZI FINAL (2)

 

 

 

 

 

 

 

104 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by EmailO
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2014/10/15/uchaguzi-shimisemita-2014/">
RSS