Bandari Tanzania wameiaga kwa michezo 2014
Michezo ni afya, michezo ni upendo na ushirikiano na pia michezo ni kitega uchumi.
Baraza la michezo la Taifa (BMT) linatoa ushauri kwa wafanyakazi wote na watanzania kwa ujumla kushiririki katika michezo ili kuzilinda afya zetu, tuwe na upendo na ushirikiano na tuiinue nchi yetu kiuchumi.
10 total views, 1 views today
Fuatilia Mchezo, like: