CHAMIJATA WAWEZESHWA VITENDEA KAZI

CHAMIJATA WAWEZESHWA VITENDEA KAZI
Chama cha michezo ya Jadi (CHAMIJATA) kimepokea vifaa vya michezo vyenye thamani ya Sh. 200,000 toka kwa Diwani wa Kata ya Msongola, Ilala Mhe. Anjelina Malembeka.
Mwenyekiti wa CHAMIJATA Mohamed Kazingumbe (katikati) akipokea Bao na kete kutoka kwa Mhe. Anjelina
Mwenyekiti wa CHAMIJATA Mohamed Kazingumbe (katikati) akipokea Bao na kete kutoka kwa Mhe. Anjelina
Katibu Msaidizi CHAMIJATA Peter Mhalasa akiongea na vyombo vya Habari Jumamosi baada ya tukio, alivitaja vifaa hivyo kuwa ni Mabao matatu, kete na Mifuko ya kuhifadhia na kubebea mabao hayo.
Aliongeza kuwa chama chake kimepokea mialiko ya mashindano ya kimataifa, nchini China Machi 27-30 na Korea kusini Septemba 17-23, 2015, ambapo Tanzania itatakiwa kushiriki Shabaha na maonyesho ya Bao na michezo mingine.
Mhe. Malembeka akitoa Mifuko ya kuhifadhia mabao kwa Mzee kazingumbe
Mhe. Malembeka akitoa Mifuko ya kuhifadhia mabao kwa Mzee kazingumbe

51 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/02/02/chamijata-wawezeshwa-vitendea-kazi/">
RSS