BMT YASAIDIA TPC KUPATA UONGOZI MPYA

BMT YASAIDIA TPC KUPATA UONGOZI MPYA

Katibu Mkuu Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Bw. Henry Lihaya, “alisema, Kamati ya Paralimpiki Tanzania imekaa muda mrefu bila kufanya uchaguzi na Katiba yao  ina muda mrefu inahitaji mabadiliko ili kuleta Uhai wa vyama na vilabu kwa maendeleo ya Michezo ya Walemavu nchini.

ktbu-1024x767

 

 

Alindelea kuwa viongozi wapya wawatumie Maafisa Tawala wa Mikoa na Maafisa Michezo wa Mikoa na Wilaya ili wasaidie kutoa miongozo ya kupata vyama vya michezo Mikoani na Wilayani ili wajenge uhusiano unaotakiwa kwa maendeleo ya michezo kwa walemavu

Alisisitiza kuwa mabadiliko yafanyike uchaguzi ujao ufanyike katika Shirikisho na siyo Chama,  natoa wito kwa uongozi mpya kuwa wahakikishe TPC inajetegemea bila kutegemea TOC, “alisema Lihaya.”

Awali akifungua Mkutano Mkuu wa (TPC) kabla ya uchaguzi,  Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo  Bw. Leonard Thadeo, aliwaasa  wanamichezo kujihusisha na Madawa ya kulevya na wenye sifa kutaka kuzamia waendapo kwenye michezo nje ya nchi.

wajumb

 

 

 

Viongozi wapya wa (TPC), Rais,  Bw. Gwakisa P. Mwakabeta, Makamu wa Rais anayeshughulikia Mipango na Uchumi Bw. Samwel Kafyeta, Makamu wa Rais anayeshughulikia Masoko, Uhamasishaji na Mawasiliano Bw. Tuma Dandi, Katibu Mkuu Bw. Peter Sarungi, Mweka Hazina Bibi Honorina Banzi.

Rais (TPC) Bw. Gwakisa akiongea na wajumbe baada ya uchaguzi
Rais (TPC) Bw. Gwakisa akiongea na wajumbe baada ya uchaguzi
 Uongozi mpya TPC
Uongozi mpya TPC

 

 

 

 Rais Mpya ya (TPC) Bw. Gwakisa Mwakabeta
Rais Mpya ya (TPC) Bw. Gwakisa Mwakabeta

 

 

Mweka Hazina (TPC) Bibi Honorina Banzi
Mweka Hazina (TPC) Bibi Honorina Banzi

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

 

Wajumbe ni Yohana Assa Mwila, Zaharani S. Mwenemti, Ally Y. Kiponda, Said A. Malilo, Hamza J. Waritu, Ernest J. Nyabalale na Shabani Shomary.

DSC03764
Wasimamizi wa uchaguzi kutoka BMT wakiandaa karatasi za kupiga kura Afisa Michezo Bw. Benson Chacha (suruali nyeusi) na Afisa kumbukumbu Bw. Calous Mlinda (tisheti bluu)

 

71 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/02/17/bmt-yasaidia-tpc-kupata-uongozi-mpya/">
RSS