TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

KUBADILIKA KWA TAREHE YA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHAMA CHA MPIRA WA VINYOYA TANZANIA.

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linatoa taarifa ya kubadilika kwa tarehe ya Uchaguzi wa Viongozi wa Chama cha Mpira wa Vinyoya Tanzania ‘TANZANIA BADMINTON ASSOCIATION’ (TBA), uliokuwa ufanyike tarehe 25 Aprili, 2015, hivyo utafanyika Jumapili tarehe 03 Mei, 2015. Baraza la Michezo pia limeongeza muda wa kuchukua na kurudisha fomu hadi tarehe 30 April, 2015.

SOMA ZAIDI KWENYE LINK HAPO CHINI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI UCHAGUZI WA CHAMA CHA MPIRA WA VINYOYA TBA

61 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/04/24/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari/">
RSS