TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeamua tena kubadili tarehe ya uchaguzi wa Viongozi wa Mpira wa Vinyoya (TBA) hadi tarehe 16 Mei, 2015.  Ambapo muda wa kuchukua na kurudisha fomu umeongezwa kwa wiki mbili hadi tarehe 15 Mei, 2015 kutokana na idadi ndogo ya wagombea  waliojitokeza kuchukua fomu na nafasi zingine kukosa kabisa wagombea.

Kwa Taarifa zaidi soma link hapo chini:-

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI TBA

 

29 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/05/04/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-4/">
RSS