HONGERA YANGA SC KWA KUTWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA

Mabingwa wa Ligi Kuu Vodacom Yanga wakishangilia ushindi

Yanga na Azam wakiwa kwenye mtanange
Yanga na Azam wakiwa kwenye mtanange

Mgeni  Rasmi katika Mchezo huo, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, na Michezo, Mh. Dkt Fenella Mukangara akimkabidhi Nahodha wa Timu ya Yanga, Nadir Haroub cheti cha pongezi kutoka kwa Rais Shirikisho la Soka Duniani, Sepp Blatter kwa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania 2014-2015. Kushoto ni Rais wa TFF, Jamal Malinzi wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Yanga, Yusuf Manji.

Mgeni Rasmi Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella  Mukangara akimkabidhi Mrisho Ngassa Mchezaji Bora wa mwezi wan ne.

Wachezaji  na Mashabiki wa yanga wakishangilia Ushindi na Kombe lao

30 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/05/13/hongera-yanga-sc-kwa-kutwaa-ubingwa-wa-ligi-kuu-ya-vodacom-tanzania/">
RSS