TFF YAKUBALI UENYEJI KAGAME CUP

TFF YAKUBALI UENYEJI CUP

TFFlogo

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini TFF,  limekubali kuwa wenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Katika ngazi ya Vilabu maarufu kama CECAFA Kagame Cup. TFF  imekubali wenyeji huo Mei 10, 2015.

CECAFA ambao ndio wamiliki wa mashindano haya watatoa mialiko kwa vilabu vyenye sifa ya kushiriki na wakipokea uthibitisho wa ushiriki wao watatoa orodha ya vilabu shiriki na ratiba ya michuano hiyo.

Michuano hii inatarajiwa kufanyika nchini kuanzia tarehe 11 Julai mpaka 02 Agosti 2015.

IMETOLEWA NA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TANZANIA (TFF).(Muro)

 

26 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/05/13/tff-yakubali-uenyeji-kagame-cup/">
RSS