BONDIA FRANCIS CHEKA AIBUKA KIDEDEA DHIDI YA MTHAILAND

BONDIA FRANCIS CHEKA AIBUKA KIDEDEA DHIDI YA MTHAILAND

cheka

BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini, Francis Cheka, aliibuka kidedea kwa kumtwanga Mthailand, Kiatchai Singwancha kwa TKO (Technical Knock Out) raundi ya nane.
Mara baada ya ushindi huo, Cheka atapanda tena ulingoni mwishoni mwa Julai mwaka huu kupambana na Sajjad Mehrabi raia wa Iran.

Katika pambao hilo la raundi 10 (Kg 79) lililofanyika kwenye Ukumbi wa PTA Sabasaba, Cheka alimdhibiti mpinzani wake huyo ambaye aliumia mkono raundi ya nane na kushindwa…

14 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/06/03/bondia-francis-cheka-aibuka-kidedea-dhidi-ya-mthailand/">
RSS