VITO FC YAAGWA KUELEKEA FINLAND

VITO  FC  YAAGWA KUELEKEA FINLAND

Balozi wa Finland nchini Tanzania Bibi. Sinikka Antila akinena jambo na wachezaji wa Timu ya VITO FC kutoka Kilwa mkoani Lindi, ambayo iliagwa mwishoni mwa wiki kwa ajili ya kuelekea nchini Finland  kushiriki michuano ya Kombe la Helsinki itakayoanza kutimua vumbi tarehe 05 Julai jijini Helsinki Finland. Timu hiyo imepata ushiriki huo kupitia Asasi ya kirai ya Sports Development Aid (SDA) ikiwa na lengo la kutumia michezo kama nyenzo ya kuhamasisha jamii kuwapeleka watoto wao wakapate elimu.

Meneja Mradi wa Sports Development Aid (SDA) Bw. Mohamed Chigogolo akielezea jambo wakati wa hafla ya kuwaaga watoto wanaoenda kushiriki michuano ya Kombe la Helsinki nchini Finland, hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Ubalozi wa Finland jijini Dar es Salaam.Katikati ni Afisa Michezo Mwandamizi kutoka Wizara ya Habari, Vijana, na Michezo Bw. Nicholaus Bulamile na Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Boniface Wambura.

Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Boniface Wambura akipeana mkono na mmoja wa wachezaji wa timu ya Vito FC ya wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi wakati wakiagwa kwa ajili ya kuelekea nchini Finland mwishoni mwa wiki  jijini Dar es Salaam. Timu hiyo inaelekea nchini humo kushiriki mashindano ya Kombe la Helsinki ambayo yanahusisha  timu za watoto walio na umri chini ya miaka 12.Mshindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 05 Julai 2015 na kushirikisha zaidi ya timu 1000.

 Balozi wa Finland nchini Bibi. Sinikka Antila akipeana mkono wa mmoja wa wachezaji wa timu ya Vito FC ya wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi wakati wakiagwa kwa ajili ya kuelekea nchini Finland Ijumaa jijini Dar es Salaam. Timu hiyo inaelekea nchini humo kushiriki mashindano ya Kombe la Helsinki ambayo yanahusisha jumla ya timu zaidi ya 1000 za watoto walio na umri chini ya miaka 12, Mashindano hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 05 Julai 2015.

Balozi wa Finland nchini Bibi. Sinikka Antila akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Vito FC ya Kilwa mkoani Lindi wakati wa hafla ya kuwaga kwa ajili ya kuelekea nchini Finland Ijumaa jijini Dar es Salaam. Timu hiyo inaelekea nchini humo kushiriki mashindano ya Kombe la Helsinki ambayo yanahusisha timu za watoto walio na umri chini ya miaka 12 zaidi ya 1000, mashindano hayo  yanatarajiwa kuanza tarehe 05 Julai 2015.

 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Bw. Boniface Wambura akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya Vito FC ya Kilwa mkoani Lindi wakati wa hafla ya kuwaga kwa ajili ya kuelekea nchini Finland mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Timu hiyo inaelekea nchini humo kushiriki mashindano ya Kombe la Helsinki ambayo yanahusisha timu zaidi ya 1000 za  watoto walio na umri chini ya miaka 12 yanayotarajiwa kuanza  tarehe 05 Julai 2015.

16 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2015/06/29/vito-fc-yaagwa-kuelekea-finland/">
RSS