UCHAGUZI MKUU WA CHAMA CHA MAKOCHA WA KUOGELEA TANZANIA (TSCA)

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) liliratibu na kusimamia uchaguzi Mkuu wa chama cha Makocha wa Kuogelea Tanzania (TSCA). Uchaguzi huu ulifanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Tarehe 28 Mei 2016.

MATOKEO YA UCHAGUZI

Na. NAFASI JINA NDIYO HAPANA HARIBIKA
1. RAISI NOEL B. KIUNSI 20 0 2
2. KATIBU MKUU ASHA S. MAPUNDA 19 2 1
3. MWEKA HAZINA ZUBERI Y. LIKOKO 18 2 2
4. MKURUGENZI WA HABARI GEORGE H. MWAIPASI 20 1 1
5. MKURUGENZI WA UFUNDI KHALID RUSHAKA 20 1 1
6. MWAKILISHI VILABU NASSORO J. MTITU 19 1 2
  7. MJUMBE THOBIAS M. MWANGUNGA 20 1 1
  8. MJUMBE EZEKIEL A. MSAKA 18 2 1

 

KAMATI YA UTENDAJI YA CHAMA

 1. RAISI-                  NOEL B. KIUNSI
 2. KATIBU MKUU- ASHA S. MAPUNDA
 3. MWEKA HAZINA- ZUBERI Y. LIKOKO
 4. MKURUGENZI WA HABARI- GEORGE H. MWAIPASI
 5. MKURUGENZI WA UFUNDI- KHALID RUSHAKA
 6. MWAKILISHI VILABU- NASSORO J. MTITU
 7. MJUMBE- THOBIAS M. MWANGUNGA
 8. MJUMBE- EZEKIEL A. MSAKA

MAAGIZO YA BMT KWA UONGOZI MPYA WA CHAMA

 1. Chama kishirikiana na Chama Mama cha Kuogelea nchini kuandaa mafunzo kwa makocha wa kuogelea nchi nzima.
 2. Wajumbe wote wahakikishe masuala yote ya mchezo wa kuogelea yanapitia kwenye chama cha mchezo wa kuogelea nchini.
 • Vilabu vyote vya mchezo wa kuogelea visajiliwe kwa sharia ya Baraza la Michezo.
 1. Chama kiitishe uchaguzi mdogo wa kuziba nafasi ambazo hazikupata wagombea kulingana na katiba yao.

 

33 total views, 3 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2016/05/29/uchaguzi-mkuu-wa-chama-cha-makocha-wa-kuogelea-tanzania-tsca/">
RSS