TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

MABADILIKO YANAYOFANYIKA NDANI YA VILABU VYA SIMBA NA YANGA

Baraza la Michezo la Taifa BMT limeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Bunge Na. 12 ya mwaka 1967 na marekebisho yake Na. 6 ya mwaka 1971 pamoja na kanuni za usajili namba 442 za mwaka 1999. chombo hiki ndiyo mkono pekee uliokasimiwa madaraka na serikali katika kusimamia aina zote za michezo nchini Tanzania. Mpaka sasa hakuna Taasisi, chombo au mamlaka nyingine yenye uwezo wa kuamua juu ya jambo lolote yenye kuathiri maslahi yoyote ya mtu au kikundi cha watu yatakayopita bila kufuata sheria hii

BOFYA KUPATA PRESS RELEASE

mabadiliko-yanayofanyika-ndani-ya-vilabu-simba-na-yanga

mabadiliko-yanayofanyikaa-ndani-ya-vilabu-vya-simba-na-yanga-uk-2

80 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2016/10/07/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-12/">
RSS