TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linatangaza  Uchaguzi wa Viongozi  wa Chama cha Riadha Tanzania (RT) unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba,2016 siku ya Jumapili  kuanzia saa 02:30 asubuhi,  ambapo  Usaili unatarajiwa kufanyika tarehe 26 Novemba,2016 jijini Dar es salaam.

rt1

rt2

rt3

55 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2016/10/31/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-13/">
RSS