TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) linapenda kutoa taarifa ya uchaguzi wa Chama cha Mchezo wa Tenisi Tanzania TTA unaotarajiwa kufanyika tarehe 11/02/2017, kuanzia saa 2.30 asubuhi katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam.

Kwa maelezo zaidi bonyeza linki hapo chini

  1. uchaguzi tenisi
  2. uchaguzi tenisi pg2

N.B Baraza linatoa wito kwa wenye sifa na wanapenda Maendeleo ya Mchezo huu na Maendeleo ya michezo nchini kujitokeza kuchukua fomu kwa wakati ili kufanikisha Uchaguzi huo.

fomu za kugombea zilipiwe Akaunti ya Baraza kwa jina la National Sports Council Ac. No. 20401100013 na kuwasilishwa Baraza pamoja na risiti iliyolipiwa Benki.

99 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/01/23/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-14/">
RSS