BMT YAPOKEA MWALIMU WA KUJITOLEA WA MCHEZO WA BASEBALL KUTOKA JAPAN

04 May 2017

Baraza la Michezo la Taifa limepokea mwalimu  wa mchezo wa Baseball  kutoka Japan  Mr. Hiroki Iwasaki, mwalimu huyo ambaye amejitolea kutoa mafunzo ya mchezo huo ameripoti katika ofisi za Baraza la Michezo la Taifa  mnamo tarehe 7 mei 2017na kupokelewa na Kaimu Katibu Mkuu Mr Mahona Milinde.

2.Mr Hiroki Iwasaki na msindikizaji wake Mr.Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na kaimu katibu mkuu wa Baraza pamoja na Afisa Michezo.
2. Mr Hiroki Iwasaki na msindikizaji wake Mr.Nchimbi akiwa katika picha ya pamoja na kaimu katibu mkuu wa Baraza pamoja na Afisa Michezo.

Mr.Hiroki ambaye pia ni kocha wa timu ya Baseball ya Taifa anatarajia kutoa mafunzo ya mchezo huo wa Baseball kwa muda wa miaka miwili. kwa kipindi hicho chote atakua anafundisha shule mbalimbali kutokana na atakavyo pangiwa na chama cha mchezo wa baseball na softball Tanzania( TANZANIA BASEBALL AND SOFTBALL ASSOCIATION).

Baraza la Michezo la Taifa litatoa ushirikiano wa kutosha kwa kocha huyo kwa kupindi chote atakacho kuwepo ofisini.

112 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/05/05/bmt-yapokea-mwalimu-wa-kujitolea-wa-mchezo-wa-baseball-kutoka-japan/">
RSS