TANZANIA NA KENYA ZANG’ARA MASHINDANO YA RIADHA AFRIKA MASHARIKI NA KATI.

Mashindano ya Riadha Afrika Mashariki Kati yamefanyika mwisho wa wiki kwa siku mbili, yakishirikisha nchi saba (7) ambazo ni Somalia,Sudan, sudan Kusini,Kenya ,Eritrea, Zanzibar na  wenyeji Tanzania.

KIGANJA RIADHA 2

Timu za riadha toka Tanzania na Kenya chini ya miaka 17 zafanya vizuri katika mashindano ya riadha ya Afrika Mashariki na kati.

KENYA TIMU

Katika kinyan’ganyiro hicho Kenya ilitwaa ushindi na kuibuka  nafasi ya kwanza  ikiwa na medali 15 ambazo  8 za dhahabu,4 za silva na 3 za shaba, ikifuatiwa na Tanzania ikiwa na medali 18,7 za dhahabu, 7 za silva, na medali 4 za shaba.

Nafasi ya tatu ilichukuliwa na Zanzibar ikiwa na jumla ya medali 13, 4 za dhahabu,5 za silva na 4 za shaba.

MKURUGENZI RIADHA

Mashindano hayo yalizinduliwa na Mhe. Waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiwa mgeni rasmi. Mh.Waziri alifurahishwa na ushindi wa timu ya Tanzania .

 

Aidha ,alisema amefurahishwa na mashindano hayo kwa kuwa yanaimarisha mahusiano na Umoja  baina ya nchi za Afrika na awomba makampuni na mashirika mbalimbali kujitokeza kwa wingi kudhamini

MBIO RIADHA

 

Mashindno hayo yalifungwa rasmi na Katibu Mkuu Wa Baraza la Michezo la Taifa  Mohamed Kiganja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Bw. Yusuph Singo

PAMOJA RIADHA

41 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/05/14/3600/">
RSS