MASHINDANO YA COPA UMISSETA YAZINDULIWA JIJINI DAR

 

WAZR1
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe akifungua michezo ya Copa/UMISSETA ambayo inashirikisha shule za Sekondari za Serikali na Binafsi mwishoni mwa wiki katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

 

 

20170526_114242PC2
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Yusuph Singo akitoa maneno machache wakati wa ufunguzi wa mashindano hayo

 

20170526_114324PC3

 

20170526_125012PC13
Wanafunzi wa timu za Sekondari wakichuana katika mpira wa miguu wakati wa uzinduzi wa Copa UMISSETA.
20170526_122751PC10
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa timu za Sekondari zilizoshiriki michuano ya Copa/UMISSETA Dar es Salam mwishoni mwa wiki.

 

20170526_123213PC14
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk. Harisson Mwakyembe akigawa vifaa vya michezo kwa shule za sekondari zinazoshiriki michezo ya Copa/UMISSETA.

35 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/05/26/mashindano-ya-copa-umisseta-yazinduliwa-jijini-dar/">
RSS