WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA MASHINDANO YA KOMBE LA MKUU WA MAJESHI YA ULINZI (CDF CUP 2017)

 

20170526_144055
Waziri Mwakyembe akielekea kukagua timu za Majeshi ya Ulinzi wakati wa uzinduzi wa mashindano ya CDF Cup kwenye Uwanja wa Uhuru  jijini Dar es Salaam

 

 

20170526_144424
Waziri Mwakyembe akiwa katika picha ya pamoja na moja ya timu ya Majeshi ya ulinzi kwenye uwanja wa Uhuru Dar es Salaam

20170526_145919
Timu ya Ngome na Kamandi ya Nchi kavu zikichuana katika uzinduzi wa mashindano ya kombe la mkuu wa majeshi ya ulinzi ( CDF Cup 2017)

84 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/05/26/waziri-mwakyembe-azindua-mashindano-ya-kombe-la-mkuu-wa-majeshi-ya-ulinzi-cdf-cup-2017/">
RSS