CHAMA CHA MCHEZO WA WAVU TANZANIA (TAVA) CHAPATA UONGOZI MPYA.

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) limeratibu na kusimamia uchaguzi wa mchezo wa mpira wa Wavu Tanzania tarehe 13 Agosti, 2017 mjini Dodoma.

Uongozi huo utadumu madarakani kwa kipindi cha miaka 4 kwa mujibu wa Katiba ya chama hicho kuanzia Agosti 13, 2017 hadi Agosti 2021

 

UONGOZI ULIOPO MADARAKANI

 1. MWENYEKITI

– PATRICK PETER MLOWEZI

 1. MAKAMU MWENYEKITI WA KWANZA- MAENDELEO NA MIPANGO

–  FRANK HERMENEGIRD MGANGA

 1. MAKAMU MWENYEKITI WA PILI-FEDHA NA UTAWALA
 • JULIUS JOSEPH KISAGERO
 1. KATIBU MKUU MSAIDIZI
 • ALFRED JOACHIM SELENGIA
 1. MWENYEKITI KAMATI YA UFUNDI NA URATIBU
 • SOMO KIMWAGA 1
 1. MWENYEKITI KAMATI YA MAENDELEO YA SHULE
 • AMONI KIWEWE SAFIELI
 1. MWENYEKITI KAMATI YA MAENDELEO YA MIKOA
 • HIJA AHMAD KATOBAGULA
 1. MWENYEKITI KAMATI YA WAAMUZI
 • HALIFA SALEHE MFANGA
 1. MWENYEKITI KAMATI YA MAKOCHA
 • DISMAS DICK AMIRI

 

 1. MWENYEKITI KAMATI YA WAVU YA UFUKWENI
 • SHUKURU ALLY SAID

72 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/08/13/chama-cha-mchezo-wa-wavu-tanzania-tava-chapata-uongozi-mpya/">
RSS