WIZARA YENYE DHAMANA YA MICHEZO YASAINI MKATABA NA WATAALAMU KUTOKA CHINA KUWEZESHA MCHEZO WA WUSHU KUFUNDISHWA KATIKA CHUO CHA MICHEZO CHA MALYA

china1
Kaimu mkuu wa chuo cha Michezo Malya, (aliyevaa suti ya bluu) Ndg. Richard Mganga, akisaini mktaba huo wa Kufundisha mchezo wa WUSHU katika Chuo cha Michezo cha Malya. Kulia kwake ni Mh. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura.
china2
Mkuu wa Chuo cha Malya na Mtaalamu kutoka China wa mchezo wa WUSHU wakibadilishana mkataba huo waliousaini hapo jana katika ukumbi wa mkutano, Uwanja wa Taifa jijini Dar-es-salaam.
china3
Mh. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Anastazia Wambura akipokea zawadi kutoka kwa Mtaalamu wa Mchezo wa WUSHU.

CHINA5
Mkuu wa Chuo cha Michezo cha Malya Ndugu. Richard Mganga akipokea zawadi kutoka kwa Mtalaamu wa Michezo kutoka China

44 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/09/18/wizara-ya-michezo-yasaini-mkataba-na-wataalamu-kutoka-china-kuwezesha-mchezo-wa-wushu-kufundishwa-katika-chuo-cha-michezo-cha-malya/">
RSS