WAGOMBEA 18 WAPITISHWA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI KATIKA UCHAGUZI WA SHIMIWI

Na Frank Mgunga

Hatimaye wagombea 18 wa nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) wamepitishwa kugombea nafasi hizo baada ya Usaili uliofanyika tarehe 15 Disemba 2017 Mkoani Morogoro kwa kukidhi vigezo vyote kulingana na sifa zilizopo katika katiba ya Shirikisho hilo.

Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi Milinde Lutiho Mahona akielezea Usaili umekwenda vizuri na kila nafasi inamtu ambapo nafasi ya Mwenyekiti yupo mtu mmoja, Makamu Mwenyekiti mmoja,Katibu Mkuu wawili, Naibu Katibu Mkuu wawili,Mhazini wawili pamoja na Wajumbe katika nafasi zote kwa maana ya Wajumbe wa Viti Maalum wanne na wajumbe wa kawaida watano.
Mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi Milinde Lutiho Mahona akielezea Usaili umekwenda vizuri na kila nafasi inamtu ambapo nafasi ya Mwenyekiti yupo mtu mmoja, Makamu Mwenyekiti mmoja,Katibu Mkuu wawili, Naibu Katibu Mkuu wawili,Mhazini wawili pamoja na Wajumbe katika nafasi zote kwa maana ya Wajumbe wa Viti Maalum wanne na wajumbe wa kawaida watano.

Akizungumza mara baada ya Usaili huo mwenyekiti wa kamati ya Uchaguzi wa SHIMIWI ndugu Milinde Lutiho Mahona amesema Usaili umekwenda vizuri na kila nafasi inamtu ambapo nafasi ya Mwenyekiti yupo mtu mmoja, Makamu Mwenyekiti mmoja,Katibu Mkuu wawili, Naibu Katibu Mkuu wawili,Mhazini wawili pamoja na Wajumbe katika nafasi zote kwa maana ya Wajumbe wa Viti Maalum wanne na wajumbe wa kawaida watano.

“Ndugu mwandishi tunashukuru Usaili umekwenda vizuri na kila nafasi inamtu ambapo nafasi ya mwenyekiti yupo mtu mmoja, Makamu Mwenyekiti mmoja, Katibu Mkuu wawili,Naibu Katibu Mkuu wawili,Mhazini wawili pamoja na wajumbe katika nafasi zote kwa maana ya wajumbe wa Viti Maalum wanne na wajumbe wa kawaida watano,”Alisema Mahona.

Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa Ndugu Benson Chacha amesema maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanaendelea vizuri ikiwemo wajumbe wa mikoa mbalimbali kuweza kuwasili kwa ajili ya Uchaguzi Tarehe 16 Disemba 2017 sambamba na kuhakikisha Uchaguzi unafuata Sheria na Kanuni za uchaguzi pamoja na kufuata matakwa ya sheria ya Baraza la Michezo la Taifa.
Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa Ndugu Benson Chacha akielezea maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanaendelea vizuri ikiwemo wajumbe wa mikoa mbalimbali kuweza kuwasili kwa ajili ya Uchaguzi Tarehe 16 Disemba 2017 sambamba na kuhakikisha Uchaguzi unafuata Sheria na Kanuni za uchaguzi pamoja na kufuata matakwa ya sheria ya Baraza la Michezo la Taifa.

Nae kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa Ndugu Benson Chacha amesema maandalizi ya Uchaguzi Mkuu yanaendelea vizuri ikiwemo wajumbe wa mikoa mbalimbali kuweza kuwasili kwa ajili ya Uchaguzi Tarehe 16 Disemba 2017 sambamba na kuhakikisha Uchaguzi unafuata Sheria na Kanuni za uchaguzi pamoja na kufuata matakwa ya sheria ya Baraza la Michezo la Taifa kwa ajili ya kupata viongozi wazuri ambao watafanya kazi kubwa ya kuhamasisha wafanyakazi katika Taasisi zao kufanya mazoezi kwa ajili ya kujenga afya na kutengeneza mahusiano mazuri kati ya wafanyakazi wa Taasisi za Serikali Nchini.

Aidha Bw. Chacha amesema mbali na kusimamia uchaguzi wa SHIMIWI kama BMT jukumu kubwa lingine ambalo lipo ni kuhakikisha kuwa wanapinga masuala ya Rushwa Michezoni hivyo wamewaalika maafisa wa Takukuru ambao watatoa Elimu kwa wapiga kura kuhusu umuhimu wa kujiepusha na vitendo vya rushwa katika Uchaguzi.

Mmoja wa wagombea Margreth Mtaki akijieleza mbele ya kamati ya Uchaguzi wa SHIMIWI wakati wa Usaili.
Mmoja wa wagombea Margreth Mtaki akijieleza mbele ya kamati ya Uchaguzi wa SHIMIWI wakati wa Usaili.

“Mbali na kusimamia uchaguzi wa SHIMIWI kama BMT pia tunao wajibu wa kuhakikisha kuwa tunapinga masuala ya rushwa michezoni hivyo tumewaalika maafisa wa Takukuru waje watoe elimu kwa wapiga kura kuhusu umuhimu wa kujiepusha na vitendo vya rushwa katika Uchaguzi,”Alisema Chacha.

77 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2017/12/15/wagombea-18-wapitishwa-kugombea-nafasi-mbalimbali-katika-uchaguzi-wa-shimiwi/">
RSS