WATAALAM WA KARETI NCHINI WATHIBITISHWA RASMI KWA VIVULI

Wataalam wa mchezo wa kareti aina SHOTOKAN waliotunukiwa vyeti na leseni tarehe 26 Mei,2018 katika Ofisi za Utamaduni wa Urusi Jijini Dar es salaam.
Wataalam wa mchezo wa kareti aina SHOTOKAN waliotunukiwa vyeti na leseni tarehe 26 Mei,2018 katika Ofisi za Utamaduni wa Urusi Jijini Dar es salaam.

Wataalamu wa mchezo wa Kareti aina ya SHOTOKAN  wamethibitishwa kwa kutunukiwa vyeti  katika taaluma mbalimbali za mchezo huo nchini kutoka kwa Shirikisho la mchezo huo  duniani (WKF) kwa kushirikiana na Shirikisho la Umoja wa makarateta la Afrika (UFAK) na Shirikisho la mchezo huo nchini Tanzania.

Tukio hilo limefanyika tarehe 26 Mei, 2018 kwa  Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa, Sensa  ya Filamu na Utamaduni Zanzibar Dkt. Omar Abdallah Adam kutoa vyeti kwa watahiniwa thelethini (30), wakiwemo   25 walikabidhiwa vyeti na waliobaki kukadhiwa leseni za Kimataifa, Ambapo kati yao wapo waliotoka Tanzania Bara na Visiwani na wanne wametoka nchini Kenya, tukio lililofanyika katika Ofisi  za  Utamaduni wa Urusi  Jijini Dar es salaam.

9 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2018/05/26/wataalam-wa-kareti-nchini-wathibitishwa-rasmi-kwa-vivuli/">
RSS