DAR ES SALAAM WANAWAKE WAICHAPA LINDI 9-0.

Timu ya mpira wa miguu wanawake Mkoa wa Dar es salaam ikiongoza mashambulizi katika goli la mkoa wa Lindi katika mchezo wa kundi A ambapo Dar es salaam walifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 9-0 katika mchezo huo.

IMG_0750Timu ya Mpira wa Miguu wanawake ya mkoa wa Dar es salaam imeishushia kipogo timu ya wanawake ya mkoa wa Lindi baada ya kufanikiwa kuichapa timu hiyo kwa mabao 9-0 katika mchezo wake wa kwanza uliopigwa katika kiwanja cha magereza Butimba jijini Mwanza.

IMG_0755

Na katika kiwanja cha shule ya sekondari Nsumba timu ya Mkoa wa Arusha iliyopo katika kundi D ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Mkoa wa Rukwa, Morogoro wakikubali kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa timu ya Manyara.

543 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2018/06/05/dar-es-salaam-wanawake-waichapa-lindi-9-0/">
RSS