BMT WAKAA NA KAMATI YA NGUMI ZA KULIPWA KUPITIA VYEMA RASIMU YA KATIBA

Msajili wa vyama vya michezo na vilabu Ibrahim Mkwawa kulia akisikiliza kwa makini maelezo ya mmoja ya wajumbe wa kamati akisema jambo wakati wa mapitio ya rasimu ya katiba kati ya BMT na kamati ya muda ya kusimamia ngumi za kulipwa nchini iliyopewa jukumu ya kuaanda rasimu hiyo na Waziri Mwakyembe mwanzoni mwa mwaka huu, tukio lililofanyaka katika ukumbi wa uwanja wa uhuru June 08, 2018 jijini Dar es salaam.

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) akiwemo Kaimu Msajili wa vyama na vilabu vya michezo nchini Ibrahim Sapi Mkwawa limekaa na Kamati ya muda ya ngumi za kulipwa June 8, 2018 na kupitia kwa pamoja rasimu ya chombo cha kusimamia ngumi za kulipwa ili kuwaelekeza sehemu za kuboresha baada ya kuipitia kabla ya kuileta kwa Msajili kwa ajili ya usajili rasmi.

K ngm kulpKatibu wa kamati ya ngumi za kulipwa na Mwanasheria Yahaya poli akiandika hoja za wajumbe wa kikao wakati wa mapitio ya rasimu ya katiba hiyo June 08, 2018

33 total views, 4 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2018/06/08/bmt-wakaa-na-kamati-ya-ngumi-za-kulipwa-kupitia-vyema-rasimu-ya-katiba/">
RSS