UMITASHUMTA WATAKIWA KUZINGATIA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU UENDESHAJI WA MICHEZO

Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT)Alex Nkenyenge kulia akisikiliza kwa makini hoja za wajumbe wa kikao cha tathmini ya uendeshaji wa michezo ya UMITASHUMTA kilichofanyika Juni 21 katika ukumbii wa Chuo cha Ualimu cha Butimba, kushoto kwake ni Kamishna Msaidizi wa Elimu Salum Salum.

Umoja wa Michezo ya (UMITASHUMTA) wametakiwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za uendeshaji wa michezo hiyo ili kuandaa vijana vizuri kwakuwa michezo hiyo ndiyo inayozalisha wachezaji wengi wa timu za Taifa na kuiletea sifa nchi katika michezo mbalimbali ya ndani na nje ya nchi.

Rai hiyo imetolewa na Kaimu Katibu Mkuu wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Alex Nkenyenge wakati wa kikao cha sekretarieti ya Taifa ya michezo hiyo chenye lengo la kuweka mikakati ya uendeshaji wa michezo hiyo, kikao kilichofanyika tarehe 21 Juni, 2018  katika ukumbi wa Chuo cha Ualimu Butimba

Wajumbe wa kikao cha tathmini ya uendeshaji wa michezo ya UMITASHUMTA

1,465 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email14
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2018/06/22/umitashumta-watakiwa-kuzingatia-sheria-kanuni-na-taratibu-uendeshaji-wa-michezo/">
RSS