SALAMU ZA RAMBIRAMBI

picwananchiBaraza la Michezo laTaifa (BMT) linatoa salamu za rambirambi kwa Mhe. Rais John Pombe Magufuli, Ndugu na Watanzania wote kwa msiba uliolipata Taifa letu kufuatia kuzama kwa kivuko cha MV. Nyerere katika Ziwa Victoria. Mwenyezi Mungu azilaze roho za Marehemu mahala pema, awaponye ndugu zetu waliopo hospitali na awape moyo wa Subira na Uvumilivu, wafiwa wote waliopoteza ndugu zao katika kipindi hiki kigumu.
Amina.

94 total views, 3 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by EmailO
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2018/09/21/salamu-za-rambirambi/">
RSS