MKURUGENZI WA MIUNDOMBINU AKAGUA UWANJA KUELEKEA AFCON

IMG_5926

Mkurugenzi Msaidizi wa Miundombinu ya Michezo Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Kaimu Katibu Mtendaji BMT Makoye Alex Nkenyenge akikagua matengenezo ya Uwanja wa Uhuru mwazo wa mwezi huu ikiwa ni maandalizi ya michezo ya AFCON kwa Vijana wa U 17 yanayotarajiwa kutimua vumbi mwezi huu wa nne Tanzania akiwa mwenyeji wa mashindano hayo.

Mafundi wakiendelea na uboreshaji wa Uwanja wa Uhuru kabla ya michuano ya AFCON mwezi huu wa Aprili
Mafundi wakiendelea na uboreshaji wa Uwanja wa Uhuru kabla ya michuano ya AFCON mwezi huu wa Aprili

 

 

1,518 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2019/04/04/mkurugenzi-wa-miundombinu-akagua-uwanja-kuelekea-afcon/">
RSS