WAZIRI MWAKYEMBE ARIDHISHWA NA MABORESHO YA UWANJA WA TAIFA NA UHURU KUELEKEA MASHINDANO YA AFCON U -17

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiingia katika eneo wanalokaa viongozi Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa maboresho ya uwanja huo kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akiingia kukagua katika eneo wanalokaa viongozi Uwanja wa Taifa kwa ajili ya kufanya ukaguzi wa maboresho ya uwanja huo kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Pix-02-768x512Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe akikagua jukwaa maalum litakalotumiwa na waandishi wa habari wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, kushoto ni Meneja wa Uwanja huo Nsajigwa Gordon na katika ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Susan Mlawi.

IMG_6702Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na waandishi wa habari katika chumba maalum kitakachotumiwa na waandishi wa habari wakati wa mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) ikiwa ni sehemu ya ziara ya Waziri huyo kukagua maboresho ya uwanja huo kuelekea kuanza kwa mashindano hayo mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam.

Pix-06b-768x577Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe (katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bi. Susan Mlawi (kushoto) wakati wa ziara ya Waziri huyo kukagua maboresho ya miundo mbinu ya uwanja wa Uhuru kuelekea mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika chini ya miaka 17 (AFCON- U17) yanayotarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es Salaam, kulia ni Meneja wa Uwanja huo Bw. Nsajigwa Gordon.

 

 

76 total views, 2 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email5
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2019/04/09/waziri-mwakyembe-aridhishwa-na-maboresho-ya-uwanja-wa-taifa-na-uhuru-kuelekea-mashindano-ya-afcon-u-17/">
RSS