TENGA APANGA MIKAKATI NA KIKOSI CHAKE

Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Leodiger Tenga (mwenye shati jeupe mbele) akiwa katika kikao na wajumbe wake wakiweka mikakati ya maendeleo ya michezo nchini tarehe 23 Agosti, 2019 katika moja ya kumbi za uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT) Leodiger Tenga (mwenye shati jeupe mbele) akiwa katika kikao na wajumbe wake wakiweka mikakati ya maendeleo ya michezo nchini, kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji Neema Msitha na kushoto kwake ni Makamu wake Prof. Mkumbukwa  Madundo Mtambo tarehe 23 Agosti, 2019 katika moja ya kumbi za uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa BMT Leodiger Tenga (katikati) akiandika jambo wakati akieleza jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo hayupo pichani kushoto kwake ni Makamu wake Prof. Mtambo na kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji Neema Msitha leo Agosti 23 katika kikao na Wajumbe wa Baraza kujadili na kuweka mikakati ya maendeleo ya michezo katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini  Dar es salaam
Mwenyekiti wa BMT Leodiger Tenga (katikati) akiandika jambo wakati akielezwa jambo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo hayupo pichani kushoto kwake ni Makamu wake Prof. Mkumbukwa Madundo Mtambo na kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji Neema Msitha wakati wa kikao na bodi yake leo Agosti 23, 2019  na Wajumbe wa Baraza kujadili na kuweka mikakati ya maendeleo ya michezo  katika ukumbi wa Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa BMT Leodiger Tenga (shati jeupe) akieleza jambo kwa wajumbe wa kikao hawapo pichani leo tarehe Agosti 23 jijini Dar es salaam
Mwenyekiti wa BMT Leodiger Tenga (kulia) akisoma kwa makini jambo, katikati ni Makamu wake Prof. Mtambo na kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo Yusuph Singo wakati wa kikao cha bodi ya BMT Agosti 23 jijini Dar es salaam.

128 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2019/08/23/tenga-apanga-mikakati-na-kikosi-chake/">
RSS