BALOZI WA JAPAN NCHINI TANZANIA ATEMBELEA OFISI ZA BARAZA LA MICHEZO LA TAIFA (BMT)

IMG_3717

Balozi wa Japan nchini Tanzania mheshimiwa Shinichi Goto ametembelea ofisi za Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa lengo la kuzungumza na kaimu katibu mtendaji wa BMT Bi. Neema Msitha juu ya maendeleo ya michezo nchini na kwa namna gani BMT linafanya kazi zake.

 

5 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2019/09/26/balozi-wa-japan-nchini-tanzania-atembelea-ofisi-za-baraza-la-michezo-la-taifa-bmt/">
RSS