SEMINA YA WAAMUZI IKIENDELEA KUELEKEA MASHINDANO YA MBIO ZA WANAWAKE

Waamuzi wa mbio wakisikiliza semina kutoka kwa Mratibu wa mashindano hayo hayupo pichani tarehe 06 Disemba, 2019 kabla ya mshindano ya mbio za wanawake zijulikanazo kama "Ladies First" zanazoanza Disemba 7 na kuhitishwa tarehe 8 Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam
Waamuzi wa mbio wakisikiliza semina kutoka kwa Mratibu wa mashindano hayo hayupo pichani tarehe 06 Disemba, 2019 kabla ya mshindano ya mbio za wanawake zijulikanazo kama “Ladies First” zanazoanza Disemba 7 na kuhitishwa tarehe 8 Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam

IMG_9632Mratibu wa mashindano Robert Kalihaya (mbele) akitoa semina kwa waamuzi wa mbio kutoka Mikoa zaidi ya 25 ya Tanzania ili kuamua katika mashindano ya mbio za wanawake zinazoanza kuanzia tarehe 7 hadi 8 jijini Dar es salaam.

73 total views, 1 views today

Fuatilia Mchezo, like:
0

Leave a Reply

Michezo ni yetu wote, fuatilia, Wataarifu wengi

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/blog/2019/12/06/mafunzo-yakiendelea-kuelekea-mashindano-ya-mbio-za-wanawake/">
RSS