Shirikisho la Mpira wa Kikapu Tanzania Kuandaa Mashindano 2013

Shirikisho la Mpira wa kikapu Tanzania kwa kushirikiana na FIBA AFRICA ZONE V wataandaa mashindano mapema Januari mwaka 2013 mjini Dar es Salaam. Mashindano haya yatashirikisha timu kutoka Ethiopia, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Eritrea, Somalia, Djibouti, Egypt, Tanzania, Sudan na Sudan kusini..

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *