Leadership Training with Tackle Africa

    

Hawa ni wakufunzi wa kozi ya kwanza ya ualimu wa michezo wakikutana tena  mwaka huu Octoba, miezi sita baada ya kumaliza sehemu ya kwanza ya kozi. Waliorudi ni 18 kati ya wale 20 kozi  iliyoendeshwa na Tackle Africa kwa ushirikiano na Baraza la michezo kwa udhamini wa UK Sports kama sehemu ya mradi wa International Insiration.

 

Na Afisa Michezo, Baraza la Michezo la Taifa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *