Education Through Sports – Singida

Serikali ya Tanzania imekuwa ikishirikiana na wadau na washirika wa maendeleo mbalimbali katika kuleta mafanikio ya sekta ya michezo nchini. Moja kati ya juhudi hizo ni mradi wa Elimu kupitia Michezo uliotekelezwa mkoani Singida kwa ushirikiano wa Chama cha Walimu Singida na Serikali ya Ufini kupitia shirika binafsi la LiiKe ry.

Kwa taarifa zaidi soma taarifa ya tathimini ya mradi huu iliyoambatishwa hapa.  Evaluation – Singida

 

naNicholas Bulamile

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *