BILD Tanzania

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa niamba ya Serikali ya Tanzania limekuwa likishirikiana na wadau na washirika wa maendeleo mbalimbali katika kuleta mafanikio ya sekta ya michezo nchini.

Moja kati ya juhudi hizi ni mradi wa Uongozi kwa Vijana kupitia Michezo ambao kwa kifupi unajulikana kama BILD uliotekelezwa kwa ushirikiano wa BMT na UK Sport.

Kwa taarifa zaidi soma taarifa ya tathimini ya mradi huu iliyoambatishwa hapa;

BILD Tanzania Evaluation Report