Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya

NEMBO     JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

        WIZARA YA HABARI, VIJANA NA MICHEZO

 

CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA (MALYA COLLEGE OF SPORTS DEVELOPMENT)

Chuo cha maendeleo ya Michezo Malya, ni Chuo pekee kinachotoa stashahada ya michezo hapa nchini kwa kuzingatia mitaala ambayo imepitishwa na wataalam kutoka vyuo vikuu vya kimataifa.

  • Stashahada ya Utawala na Uongozi katika Michezo (Diploma of Sports Management and Administration)
  • Stashahada ya Elimu ya Michezo (Diploma of Physical Education)
  • Stashahada ya Ukocha (Diploma of Coaching)

SIFA ZA KUJIUNGA

1. Awe amemaliza kidato cha nne kwa ufaulu wa kiwango cha daraja “C” au “D” mbili na awe amesoma astashahada kutoka chuo kinachotambulika. Kipaumbele kinatolewa kwa ambao wamepata mafunzo ya ukocha na anatambulika na chama cha michezo cha kitaifa

2. Awe amemaliza kidato cha sita kwa ufaulu wa alama “E” na kiwango cha ufaulu wa alama  “S” na awe ameshiriki kwenye michezo.

3. Stashahada au Shahada ya kozi yoyote na ujuzi wa kufundisha michezo

Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya
Chuo cha Maendeleo ya Michezo Malya

 

 

 

Hosteli za Kulala Wanafunzi Chuoni Malya
Hosteli za Kulala Wanafunzi Chuoni Malya

KWA MAWASILIANO:

CHUO CHA MAENDELEO YA MICHEZO MALYA 
S.L.P . 153, MALYA
MWANZA, TANZANIA
Simu/Nukushi  2130719
Barua pepe: isdmalya@yahoo.com

441 total views, 1 views today

Leave a Reply

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/huduma/taasisi/malya/">
RSS