Vijana wakijifunza mchezo wa mpira wa kikapuBaadhi ya wachezaji wa klabu ya Topland wa mkoa wa kimichezo wa Kinondoni wakishangilia na kikombe pamoja na pesa Taslimu Tsh. 5,000 000/= mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Pool Taifa yaliyomalizika mwishoni mwa wiki Mkoani Kilimanjaro.Watoto wakijifunza mchezo wa mpira wa mguu uwanjani
Timu ya Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezovijana wakicheza mpira wa wavu