Mradi wa BILD Tanzania

Tanzania Beckwith International Leadership Development Programme (BILD Tanzania)

Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kwa niaba ya Serikali ya Tanzania limekuwa likishirikiana na wadau na washirika wa maendeleo mbalimbali katika kuleta mafanikio ya sekta ya michezo nchini.

Moja kati ya juhudi hizi ni mradi wa Uongozi kupitia Michezo kwa Vijana ambao kwa kifupi unajulikana kama BILD Tanzania. Mradi huu ulitekelezwa kwa ushirikiano wa BMT na TOP Foundation ya Uingereza kupitia UK Sport International. Mradi huu uliitwa Beckwith ili kumuenzi Sir John Beckwith mwenyekiti wa TOP Foundation waliofadhili mradi huu. Kwa taarifa zaidi soma “newsletters” za mradi huu zilizoambatishwa hapa

BILD Newsletter Issue No 1

 

 

 

285 total views, 1 views today

Follow by Email4
Facebook
Facebook
YouTube0
YouTube
Google+0
Google+
http://nationalsportscouncil.go.tz/michezo-sports/miradi-projects/tanzania-beckwith-international-leaderhip-development-bild-tanzania-programme/">
RSS